JavaScript

This website requires the use of Javascript Explain This   to function correctly. Performance and usage will suffer if it remains disabled.
Image for Hili Hapa Ndilo Kanisa la Mungu Rejeshwa  
Liko Wapi Kanisa la Mungu Leo hii?
Photo of a CongregationNew York, Marekani Photo of a CongregationJamaika Photo of a CongregationPeru Photo of a CongregationIdaho, Marekani Photo of a CongregationIndia Photo of a CongregationUbelgiji Photo of a CongregationKenya Photo of a CongregationArkansas, Marekani Photo of a CongregationAfrika Kusini Photo of a CongregationUingereza Photo of a CongregationNigeria Photo of a CongregationOhio, Marekani

Yesu alisema, “Nitalijenga Kanisa Langu.” Kuna shirika moja linalofundisha ukweli wote wa Biblia, na limeitwa kuishi kwa “kila neno la Mungu.” Je, unajua namna ya kulipata? Kristo alisema lita:

  • Fundisha “yote” Aliyoagiza
  • Kuwa na washiriki walioitwa na kuwekwa wakfu kwa ile kweli
  • Kuwa “kundi dogo”

Vitabu vya Majira fulani ya Mwaka

Kampasi ya Makao Makuu

Likiwa na Makao Makuu yake Wadsworth, Ohio, Kanisa la Mungu Rejeshwa linatangaza kwa mataifa yote ujumbe wa tumaini la mwisho usiojulikana. Kanisa ambalo lina mikusanyiko katika nchi zaidi ya 70 katika mabara sita, linasambaza bure mamilioni ya vitabu, vijitabu na makala ulimwenguni kote kila mwaka—vingi kati ya hivyo vikiwa katika lugha 12.

Watembeleaji wa Mara ya Kwanza

Unabii

Habari za Mwandishi
Photo of David C. PackDavid C. Pack 

Mwanzilishi na Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Mungu Rejeshwa, Mhariri-Mkuu wa Jarida la Ukweli Halisi, na sauti ya programu ya Ulimwengu Ujao, Daudi C. Pack amewafikia mamilioni wengi ulimwenguni na kweli za Biblia zilizo na nguvu sana—zisizojulikana karibu kwa wote. Ameandika vitabu na vijitabu 80, mwenyewe ameanzisha zaidi ya mikusanyiko 50, na alionekana kama mgeni kwenye Kituo cha Historia (The History Channel). Bwana Pack alihudhuria Chuo cha Mabalozi huko Pasedena, Kalifonia, aliingia katika huduma ya Kanisa la Ulimwengu Mzima mwaka 1971, na yeye binafsi alifundishwa na mwanzilishi wake, Herbert W. Armstrong.

Mpango wa Mungu