JavaScript

This website requires the use of Javascript Explain This   to function correctly. Performance and usage will suffer if it remains disabled.

Onyesha kama:

orodha
miraba fito

Pangilia kwa:


Vinjari kwa Muundo:


Vinjari kwa Somo:


 

Maktaba: Wokovu na Kilichopo Baada ya Uhai


Jinsi Dini Inavyokudanganya Kuhusu Mustakabali Wako wa Kustaajabisha

na David C. Pack

Ukweli wa injili—kusudi la Mungu la kustaajabisha kwa ajili ya mwanadamu—umefichwa. Hufafanua kwa nini ulizaliwa. Ni maarifa ya kushangaza! Yatakuacha umepigwa bumbuazi. Maarifa haya ya ajabu yamefunuliwa sasa—sambamba na njama ya kuyazuia!
Hifadhi ili kusoma baadaye

Nini Thawabu Yako Katika Maisha Yajayo?

na David C. Pack

Hakuna kitu kisichoeleweka zaidi kuliko wokovu. Kwa nini watu wengi wamechanganyikiwa—wamedanganyika—kuhusu kile watakachofanya baada ya maisha haya? Je, wokovu huja kwa neema au kwa njia ya matendo—na tofauti yake ni nini? Kwa namna gani—kwa vigezo vipi—watu hulipwa katika maisha yajayo?…
Hifadhi ili kusoma baadaye

Ufalme wa Mungu ni Nini?

na David C. Pack

UFALME WA MUNGU ni nini—na unaonekana lini? Je, uko mbinguni? Je, ni Himaya ya Uingereza? Je, ni kanisa la watu wote? Je, ni milenia? Je, “uko katika mioyo ya wanadamu” au tu “wema ulio ndani ya kila mtu”? Mamilioni wanaamini fikira hizi za watu wengi—lakini zote ni za uongo!…
Hifadhi ili kusoma baadaye