Jiandae kuduwazwa—kustaajabishwa amini usiamini! Ukweli wa ajabu umebaki mafichoni—umezuiliwa—usieleweke kwa wanadamu wote kwa miaka 2,000. Ulimwengu uliodanganywa umezuiliwa usielewe KIJENZI MUHIMU KINACHOKOSEKANA katika kumaliza matatizo ya mwanadamu. Wanasayansi, wanateolojia, waelimishaji…
Wengi wanashangaa kama wanaitwa na Mungu. Unawezaje kujua? Je, hisia
zinatosha kwa jambo hili muhimu? Kuitwa ni nini ? Neno la Mungu linasema nini? Unahitaji kujua.