JavaScript

This website requires the use of Javascript Explain This   to function correctly. Performance and usage will suffer if it remains disabled.

Msaada

Sehemu ya Maktaba imepanga mamia ya vitabu, vijitabu, makala, Masw. & Maj., Kozi za masomo ya Biblia, brosha, majarida kwa namna ya wazi na iliyo rahisi kuvifikia. Vipengele vinaweza kufikiwa kwa muundo wa (Vitabu, vijitabu, makala, n.k.) au kwa mada. Vichujio vya ziada na chaguzi za uchambuzi vinafanya kuwa rahisi sana kupata kile unachotafuta—vile vile vipengele vingine vinavyofanana.

Kutuhusu Sisi ina kila kitu ambacho ungehitaji kujua kuhusu Kanisa la Mungu Rejeshwa.

Rafu Yangu ya Vitabu ni mojawapo ya vipengele vyetu vinavyosisimua sana. Rafu hii ya faragha, ya binafsi inakuruhusu kuhifadhi vipengele kwa ajili ya kuvisoma baadaye au kuviagiza, kupangilia vipengele unavyotaka kuvisoma, na hata kufuatia pale ulipoachia kusoma katika kila kitabu—ni kipengele maalumu kisichopatikana kwenye tovuti nyingine yoyote!

Maktaba

Chagua vipengele kwa muundo (vitabu, vijitabu, makala, n.k.) au mada. Watembeleaji wanaweza kupata vipengele vinavyofanana (na watumiaji waliosajiliwa wanaweza kuhifadhi vipengele kwenye “Rafu Yangu ya Vitabu”).

Unapovinjari maktaba (iwe kwa mada au muundo), unaweza kufinya zaidi matokeo kwa kubadili namna vipengele vinavyoonyeshwa—kwa kubadili mwonekano, mfuatano, muundo au mada.

Kwenye mtazamo wa “Orodha” ya msingi (na kwenye menyu ya mtazamo wa “Mirabafito”), vipengele vyote vilivyopo vinaweza kuongezwa kwenye foleni yako ya Ombi bila kutoka nje ya maktaba.

Zaidi, watumiaji waliosajiliwa wanaweza kuwa na vipengele pendwa kwenye rafu zao za vitabu kuvisoma baadaye.

Tafuta

Vingi vya vipengele vinavyopatikana kwenye Maktaba pia vinapatikana kwenye kurasa za kutafutia.

Hakuna tatizo kama unapendelea kutumia menyu au kutafuta mada, tovuti itakusaidia kupata kile unachotafuta kwa haraka. Na mara unapopata kipengele, Rafu yangu ya vitabu inakuruhusu kusoma vipengele sasa, au kuvihifadhi kwenye rafu yako ya vitabu kwa ajili ya baadaye.

Usanifu Sikivu

Kuingiza usanifu wa methodolojia ya “usanifu sikivu,” rcg.org hujibadili moja kwa moja kulingana na aina ya kifaa kinachoifikia. Hii ina maana kwamba hata unapotembelea tovuti yetu na simu yako ya lununu, tabuleti au kompyuta, maudhui yote na vipengele vinakuwepo.

Mfano wa kompyuta ya mezani, tabuleti na simu ya lununu

Vitabu

Watumiaji waliosajiliwa wanaweza kuhifadhi vitabu kwenye “Rafu yangu ya Vitabu.” Rafu yako ya vitabu ni mkusanyiko binafsi wa vitabu kwenye tovuti ambavyo ungependa kuvisoma, kujifunza au kuagiza baadaye.

Watumiaji waliosajiliwa wanaweza pia kubofya kitufe cha alamakitabu wakati wanasoma kuhifadhi mahala walipo sasa kwenye rafu ya vitabu. Mahala pako palipohifadhiwa panahamia kwenye kifaa chochote unachokitumia kufikia tovuti, bila kujali kama ni kompyuta ya mezani, kompyuta mpakato, tabuleti au simu ya lununu!

Aya kabla haijawekwa alamakitabu

Aya imewekwa alamakitabu na imehifadhiwa kwenye rafu yako ya vitabu moja kwa moja

Unaweza pia kuchapa vipengele na vitatengenezwa kuonekana vyema moja kwa moja.

Rafu Yangu ya Vitabu

Rafu yako ya vitabu inakuruhusu kuweka orodha binafsi ya vipengele ambavyo ungependa kuvihifadhi, kuvisoma au kuviagiza sasa au wakati ujao. “Rafu yako ya vitabu” inaonyesha umefika mbali kiasi gani kwenye kusoma vitabu kwa kutumia mstari wa asilimia “Zilizoisha” ulio rahisi kueleweka. Mara unapomaliza kusoma kipengele, bofya “Imekamilika” kukihamishia kipengele hicho kwenye orodha ya vitabu ulivyosoma.

Ondoa au pangilia vipengele kwa umuhimu kwenye rafu yako ya vitabu kwa kubonyezaPangua