Maswali Makuu. Majibu Dhahiri.
Kanisa la Mungu Rejeshwa limejitolea kutoa bure—kupitia tovuti iliyojengwa kibiblia iliyopana sana ulimwenguni—UFAHAMU DHAHIRI wa kina na undani kwa karibu kila fundisho la Biblia, dogo na kubwa.
Uchambuzi wa Habari za Ulimwengu—Ufafanuzi wa Unabii wa Biblia
Kanda za video na za sauti pekee za Ulimwengu Ujao hurejesha ufahamu dhahiri wa matatizo, dalili na sababu zilizo nyuma ya matokeo mabaya yanayoangaziwa katika kila vichwa vya habari vya leo—na kuelekeza kwa HABARI NJEMA ya suluhisho la pekee linalowezekana, ambalo sasa liko katika upeo wa macho: ufalme wa Mungu unaokuja hivi-karibuni!
Jarida Linalorejesha Ufahamu Dhahiri
Wakati magazeti, majarida na ripoti zingine za vyombo vya habari vinaripoti kilichotokea, Ukweli Halisi huchambua na kufafanua shina la sababu na kwa nini matukio hutokea—kwa nini ubinadamu umeshindwa kutatua matatizo ya leo, magonjwa na hali—na namna ambavyo hatimaye haya yatatatuliwa.
Haki ya Kunakili © 2025 Kanisa la Mungu Rejeshwa. Haki Zote Zimehifadhiwa.
Kanisa la Mungu Rejeshwa ni la kanuni ya 501(c)(3) shirika lisilo kwa ajili ya faida.