Saidia utumiaji wa tovuti ya Kanisa la Mungu Rejeshwa (RCG)

Ili kuabiri kwenye tovuti, chagua kitabu unachotaka kilichoorodheshwa kwenye ukurasa wa mwanzo. Wakati wowote unaweza kurudi kwenye ukurasa wa mwanzo kwa kubofya juu ya “MWANZO” kwenye menyu.

Kusoma Vitabu vya RCG

Vitabu vya RCG vinapatikana katika mtindo wa html. Hii inawezesha urahisi katika kuvisoma kwenye skrini. Kama unataka kuchapa kipengee chochote, unaweza kubofya juu ya kiungo “Chapa Nyaraka Hii” upande wa kulia wa menyu ili kupata tafsiri inayochapika kirahisi.

Kuwasiliana na RCG

Habari zote kuhusu mawasiliano na Kanisa la Mungu Rejeshwa (RCG) zinapatikana kwenye ukurasa wa mawasiliano.

Habari za kuvinjari

Tovuti yetu inashabihiana na aina nyingi mpya za visakuzi. Hata hivyo, tunapendekeza aina ile inayokubaliana na viwango vya XHTML 1.0 & CSS 2 ili kupata matokeo bora.